Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Waterfront, Adelainde
Bishangazi (kushoto), akimkabidhi sehemu ya vifaa vya ujenzi, Mkuu wa Masista
wa Mtoto Yesu Bukoba, Sista Pudentiana
Kirungo kwa ajili ya ujenzi wa Kliniki ya akinamama na watoto katika
kijiji cha Kifuru-Kisarawe, Mkoa wa Pwani. Vifaa vilivyokabidhiwa ni
mifuko ya Saruji, bati, mbao na nondo. (Picha na Francis Dande)
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Waterfront, Adelainde
Bishangazi (kushoto), akimkabidhi nondo kwa Mkuu wa Masista
wa Mtoto Yesu Bukoba, Sista Pudentiana Kirungo kwa ajili ya ujenzi wa Kliniki ya akinamama na watoto katika
kijiji cha Kifuru-Kisarawe, Mkoa wa Pwani. Vifaa vilivyokabidhiwa ni
mifuko ya Saruji, bati, mbao na nondo.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Waterfront, Adelainde Bishangazi (kushoto), akimkabidhi mbao zitakazotumika katika ujenzi wa kliniki hiyo.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Waterfront, Adelainde Bishangazi (kulia), akikagua maendeleo ya ujenzi wa Kliniki ya akinamama na watoto katika kijiji cha Kifuru-Kisarawe, Mkoa wa Pwani. Vifaa vilivyokabidhiwa na Benki ya CRDB ni mifuko ya Saruji, bati, mbao na nondo.
Watoto wakipewa juisi
Watoto wakipata huduma za Afya katika eneo la ujenzi wa Kliniki ya Huduma za Afya kwa akinamama na watoto.
Mkuu wa Masista wa Mtoto Yesu Bukoba, Sista Pudentiana Kirungo.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Waterfront, Adelainde Bishangazi akizungumza katika hafla hiyo.
Pauline Archard-Katibu wa jimbo Kuu la Dar es Salaam akizumgumza katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kifuru, Joseph Lusinde akizungumza katika hafla hiyo.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Waterfront, Adelainde Bishangazi (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Halmashauri ya Kisarawe. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela.
No comments:
Post a Comment