Thursday, March 6, 2014

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA TAARIFA YA 'THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE' YA VODAFONE FOUNDATION

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza Ms Jacqueline Barret, Group Comliance Director wa Vodafone mara baada ya Mkurugenzi huyo kutoa hotuba yake kwenye hafla ya 'Connected Women' iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip tarehe 5.3.2013 ambapo Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni rasmi.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa Taarifa ya THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi huo.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akiwahutubia waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Taarifa ya 'THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE' ya Vodafone Foundation. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Golden Tulip hapa Dar es Salaam tarehe 5.3.2014.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na kubadilishana mawazo na washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi huo. PICHA NA JOHN LUKUWI

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha ya pamoja ya Ms Jacqueline Barret na akinamama wengine waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa Taarifa ya THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE kwenye Hoteli ya Golden Tulip tarehe 5.3.2014.

No comments: