Thursday, February 13, 2014

WAANDISHI WA HABARI WA REDIO ZA JAMII WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA KATIKA KUITUMIKIA JAMII

.
DSC_0012
Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa somo kwa washiriki wa Semina ya siku tano ya Maadili na Jinsia inayolenga kuwajengea uwezo waandishi wa habari na watangazaji wa Redio za Jamii nchini iliyofadhiliwa na UNESCO kupitia mradi wa Demokrasia na Amani kuelekea uchaguzi 2015 inayoendelea mjini Dodoma.
DSC_0020
Pichani juu na chini ni Baadhi ya watangazaji na waandishi wa habari kutoka Redio mbalimbali za Jamii wakifuatilia mafunzo hayo yanayoendelea mjini Dodoma.
DSC_0009DSC_0052DSC_0119
Pichani juu na chini ni baadhi ya waandishi wa habari na watangazaji wa redio za jamii wakichangia maoni kwenye mafunzo ya siku tano yanayoendelea mjini Dodoma.
DSC_0134DSC_0169
Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo kutoka redio Triple A FM ya jijini Arusha Grace Damian akizungumzia changamoto mbalimbali zinazozikabili Redio za Jamii nchini.

No comments: