Tuesday, February 4, 2014

Maadhimisho ya Siku ya sheria nchini yalivyofana mjini Moshi

Jaji Aisha Nyerere akiingia katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake katika Siku ya Shera.
Kikosi cha kutuliza fujo,kikiwa tayari kwa ukaguzi .
Jaji Aisha Nyerere akikagua gwaride maalumu katika viwanja vya mahakama kuu mjini Moshi.
Brass Band ya Chuo cha taaluma ya Polisi Moshi kilikuwepo kutoa burudani kwa waalikwa.
Jaji Aisha Nyerere akipokea hesima kutoka kwa askari wa kikosi cha kutuliza ghasia katika gwaride lililoandaliwa kwa ya siku ya Sheria.
Gwaride likitoka katika viwanja vya mahakama kuu ,mara baada ya kihitimisha shghuli katika sherehe za siku ya Sheria.
Jaji Aisha Nyerere akiwa na kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz katika siku ya Sheria iliyofanyika katika viwanja vya mahakama kuu.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Mh. Leonidas Gama (kulia) pia alihudhulia sherehe hizo.
Wageni mbalimbali na mawakili walikuwepo katika viwanja vya mahakama kuu kanda ya Moshi akiwemo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama. 
Baadhi ya mawakili wakiwa katika mstari wakingojea mgeni rasmi Jaji Aisha Nyerere katika siku ya Sheria iliyofanyika mjini Moshi. Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.

No comments: