Dj akiwa makini kuhakikisha watu wanaburudika na miziki
mizuri ya Kihindi wakati wa Tamasha la LAKE GAS INDIAN FOOD
Mandhari ya eneo la tukio
Palipendeza
Mama na mwanae akionekana ni mwenye furaha
Mstahiki Meya wa Kinondoni Mhe Yusuf Mwenda
akipokea zawadi ya unga kutoka kwa mwakilishi wa banda la Azam
Mstahiki Meya wa Kinondoni Mh.Yusufu Mwenda(kushoto)
akifatiwa na balozi wa India Mhe. Debnath Shaw na familia zao.
Mh.Yusuf Mwenda(kushoto) na balozi wa
India wakipata maelezo kutoka kwa mwakilishi wa Azam
Mhudhuriaji akipewa maelezo jinsi ya kucheza mchezo
wa kulenga shabaha
Mshindi wa shindano la kutengeneza chapati kwa
watoto akipokea zawadi kutoka kwa mwakilishi wa Azam
Mstahiki Meya akipata maelezo kutoka kwa mmoja
wa washiriki wa Lake Gas India Food Festival
Mtoto akitengeneza chapati kwenye shindano la
kutengeneza chapati kwa watoto chini ya miaka 14
Mtoto akiwa amesimamiwa na wazazi wake
akitengeneza cha[ati katika shindano la kutengeneza
chapati kwa watoto chini ya miaka 14
Mtoto ambaye ni mshindi wa shindano la kutengeneza chapatina mama yake kipokea
zawadi ya Azam Atta
Mwakilishi kutoka Lake Gas akibadilishana mawazo na balozi
wa India nchini Tanzania.
Wahudhuriaji wakiwa wamekaa
Wapishi kutoka kwenye mgahawa wa Haandi wakiwa makini kuandaa chakula.
Michezo ya watoto pia ilikuwapo
Watoto wakiwa kwenye shindano la kucheza miziki ya Kihindi.
No comments:
Post a Comment