Msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukitoka uwanja wa ndege wa Songwe kuelekea mjini Mbeya leo mara baada ya kuwasili mkoani humo. ![6](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_t3ePefqCAP4nh7CoFUlIxypIWlPKacjsOCCWrvqOzNxIM-1c0zqTRoX-wx8rxwLhHVAmDPf5rDqO2-ZNymDDD31jwvgWi6XZN41tQtP5YXixzjYU4fGOscNTpI1VMUA1qnTpJA=s0-d)
Pikipiki zao zikiwa zimeegeshwa nje ya ukumbi.
Waendesha Bodaboda wakifuatilia hotuba za Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wakati wa mkutano huo. ![10](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_ueR1vrdZM7p2vP2aYp-gwrmJAbRQNVSaLrAKweAP-mcYmpzX4X7amLZcks8nbvEtpMVzgHZ2KxVyZYcXjqxCjEuXgVSoTb1cWa7vqnnx8VhJXaUoD6KRC569AJBVDHMv8HZ7k9=s0-d)
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea risala ya waendesha Bodaboda kutoka kwa Msumba Makya Katibu wa Waendesha Bodaboda. ![13](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tKOaJuxwYdxOnyirNNYQjvdMpaAl5a8dJ7SPL69yWKGIYM2ko-VnbzD-MXYZgb8tNXqfIEbd-P2ExTdeFGNqXUHVxmj1teYvM7KzcfsW1Q9WE_VdkU3AvtJ4yCXfI1lTMDBKlLmw=s0-d)
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akibebwa juujuu na waendesha bodaboda mara baada ya kuwahutubia kwenye ukumbi wa Mkenda leo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga picha ya pamoja na uongozi wa waendesha Bodaboda kushoto ni mwenyekiti Vicent Mwashoma na kulia ni Msumba Makya Katibu wa Waendesha Bodaboda.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA)
No comments:
Post a Comment