MRADI WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION WA BACK TO SCHOOL PROJECT ILIOFADHILIWA NA MFUKO WA PENSHENI PSPF ILIYOMALIZIKA WIKI ILIYOPITA IVYOENDA ALIANZIA KISARAWE KATIKA SHULE YA MSINGI YA CHANZIGE B NA KISHA SHULE YA MSINGI YA KIMANZICHANA ILIYOPO WILAYA YA MKURANGA NA SHULE YA MSINGI MSINUNE ILIYOKO WILAYA YA BAGAMOYO
SHUKRAN ZA PEKEE KWA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF NA KUUNGANA NA FLAVIANA MATATA FOUNDATION NA KUSAIDIA VIFAA HIVI KWA WANAFUNZI 1000 KWA KUANZIA KUNA VINGINE VITAPELEKWA MIKOANI, TUTAENDELEA KUHABARISHANA HAPAHAPA, NA ZOEZI HILI NI ZOEZI ENDELEFU, NDIO MAANA TUNAKARIBISHA WADAU TUFAUTI TOFAUTI, KUHAKIKISHA WANAFUNZI HAWA WANAFIKIA MALENGO NA KULETA MABADILIKO KATIKA TAIFA
![Flavian matata foundation-kisarawe (13 of 152)](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tSKR-U1n8GsCnn_oniCDFTJuUp1Zhe1-rMvVWuJ-b8JD8E8nXGL3ciCZdu0b7pbzMDxyKIzwjtTPIehfeoyqzs_9nbnO987DQhja3gEmgUMKLPbaOhsJLcXq_FkOXTqvK4Mx4C4-km42zRr0J9uentknq3tKvLDjaCyhZh-5q18Fukxio-D6WaFsvuYisg=s0-d)
ITIFAKI ILIZINGATIWA KILA ALIKOPITA ILIBIDI ASAINI DAFTARI ILI KUTAMBUA UWEPO WAKE
MIFUKO MINGI NI YA RAMBO (MIFUKO YA PLASTI Lol ) HIVI HII MIFUKO ILIITWA RAMBO KUTOKANA NA ILE YA ZAMANI KUWA INACHORWA PICHA YA YULE MUIGIZA SINEMA AU NDO JINA LAKE ?
UNAWEZA ONA WENGINE WAKO PEKU NA WENGINE WAKIWA NA YEBO YEBO NA UNIFORM CHAKAVU.....KUNA UMUHIMU WA KUSAIDIA HILI
NA SIKU YA JUMATATU TULIMALIZIA WILAYA YA BAGAMOYO KATIKA SHULE YA MSINUNE
SHUKRAN ZA PEKEE KWA MFUKO WA PENSHEN WA PSPF NA KUUNGANA NA FLAVIANA MATATA FOUNDATION NA KUSAIDIA VIFAA HIVI KWA WANAFUNZI 1000, NA ZOEZI HILI NI ZOEZI ENDELEFU, KUNA AMBAYO YATASAMBAZWA MIKOANI, AMBAYO YAMECHANGIWA NA RUSSEL SIMON MAARUFU KAMA ANCLE RUSH AMBAYO YATAENDA MIKOANI NA ZOEZI HILI LITAENDELEA TENA MWEZI YA JULAI PINDI SHULE ZITAKAPOFUNGULIWA TENA
No comments:
Post a Comment