Wednesday, January 1, 2014

Dkt. Shein aongoza Matembezi ya Bonanza la Vikundi vya mazoezi ya Viungo Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,(katikati) na viongozi mbali mbali walioshiriki,Matembezi ya Bonanza la 5 la Vikundi vya Mazoezi ya Viungo, yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,hadi uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Wanavikundi vya mazoezi ya Viungo wa Zone A,wakiwa katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha Mazizini Beach Exercise Group,hawakuwa nyuma katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha Training & Fitness Obama Club,wakiwa katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha Mchezo wa Judo,wakiwa katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Wanamichezo wa rika tofauti,waliobeba bango lenye ujumbe,"MAZOEZI HAYANA RIKA WALA JINSIA",wakiwa katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha Kata Presha Exercise cha Ngazimia,wakiwa katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Wanavikundi vya mazoezi ya Viungo wa Zone D,wakiwemi Amani Exercise Club Zanzibar,wakiwa katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha mazoezi Hatu Exercise Club cha Kikwajuni,akiwemo Mbunge wa Jimbo hilo Hamad Masauni,kikiwa katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha Barssband cha Mafunzo kikiwa mbele ya Matembezi ya Bonanza la 5 la Vikundi vya Mazoezi ya Viungo,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yameanzia Uwanja wa Kisonge,hadi uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments: