Saturday, January 4, 2014

BURIANI TONNY BARETTO


 Mtoto wa marehemu John-Paul Baretto akisema machache kuhusu baba yake
 Mzee Ulli Mwambulukutu aliyepata kufanya kazi na marehemu akiwa Mhariri Mtendaji wa Daily News Enzi hizo akiongea machache
 Gabby Mgaya kutoka Daily News akimkumbuka Tonny
 Bosi wa ITV Joyce Mhavile akisema machache kuhusu Tonny Baretto
 Mjane wa marehemu Tonny Baretto, Pearl (wa pili kulia), watoto John Paul (kushoto) na Catherine Rose (kulia) na bibi yao, mama wa Pearl.
 Waombolezaji wakiifariji familia
 Mama Rose Mwapachu na Balozi Mwapachu wakiwafariji wafiwa
 John Paul akipewa pole na wadau
 Poles sana John Paul...
 Pole John....
 Pole sana kijana wetu....








 Ankal akiwa na marafiki wa karibu wa Tonny Baretto. Toka shoto ni Sukhdev Chatbar toka Arusha, Mukesh Josh, Ankal na Mkurugenzi wa Radio One Deo RWeyunga
Marafiki wa karibu wa Tonny Baretto wakisherehekea maisha ya marehemu.

1 comment:

Anonymous said...

Ankal picha ya sita kutoka juu aliekaa na wafiwa ni mama mzazi wa Pearl, Mrs.Carvalho na sio shangazi.