Monday, December 23, 2013

UZINDUZI WA ALBUM YA ZAWADI YA CHRISTMASS YA KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA WAFANA KATIKA UKUMBI WA LINA'S CLUB BUKOBA


ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Cathoric la Bukoba Methodius Kilaini (kulia) ambaye ndie Mlezi wa kikundi cha hiki Cha Kapotive Star Singers akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kamati Bw. Philibert T. Katabazi
Askofu Msaidizi wa Jimbo Cathoric la Bukoba Methodius Kilaini na Mwenyekiti wa Kamati Bw. Philibert T. Katabazi.
Askofu Msaidizi wa Jimbo Cathoric la Bukoba Methodius Kilaini akiendesha sala maalumu kabla ya uzinduzi kuanza kwenye ukumbi wa Lina's Club Bukoba leo Mchana. Kulia ni Fr. Achilleus Rwehumbiza katibu mtendaji wa Idara ya Elimu Jimbo Katoliki Bukoba.Waimbaji wa Kikundi cha Kapotive Star Singers Bukoba wakiwajibika jukwaani leo wakati wa uzinduzi wa Album yao ya ZAWADI YA CHRISTMASS leo kwenye ukumbi wa Lina's Club uliopo Bukoba Mjini.
Baadhi ya waimbaji wa Kukundi cha Kapotive wakiimbaDenis Deus kulia akiwajibika..
Furaha kwa mama baada ya kukoshwa na nyimbo za ijili kutoka kwa kapotive star Singers
Mungu kanipa kipaji hacha nikuimbie!!!
Wasanii wa Kapotive Star Singers wakiimba kwa hisia hapa....
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani (kulia) ndie alikuwa mgeni Rasmi katika uzinduzi huu uliofana vilivyo wa Album ya Zawadi ya Christmass leo katika Ukumbi wa Lina's Club uliopo Bukoba Mjini.
Baadhi ya waimbaji wa Kukundi cha Kapotive Star Singers wakisoma Risala mbele ya Mgeni rasmi
Mbele ya Viongozi
Waimbaji wa kikundi cha Kapotive Kulia ni Bw. Denis Deus na kulia ni dada Teddy Rweyendela
Risala imefika kwa kiongozi...asante!!
Waimbaji wa Kwaya ya M.T John Bosco Vijana nao walikuwepo kwenye uzinduzi huo wa Kapotive Star Singers-BukobaWaimbaji wa Kwaya ya M.T John Bosco Vijana wakiimba kwa pamoja
Waimbaji wa Kwaya ya M.T John Bosco Vijana
Waimbaji wa Kwaya ya M.T John Bosco Vijana wakiimba wimbo wao huku wakiwa na nyuso za furaha kwenye Uzinduzi wa Album ya ndugu zao Kapotive Star Singer kutoka Bukoba mjini leo Jumapili
Kwaya ya M.T John Bosco Vijana wakiwajibika...
Viongozi wakiwangaalia Vijana Jukwaani wakiwajibika ipasavyo leo kwenye uzinduzi wa Album yao pendwa ya Zawadi ya Christmass.
Hakika Kapotive wamefanya kazi kweli kweli...
Waimbaji wa Kwaya ya M.T John Bosco Vijana wakiwaangalia wenzao kwa Furaha na kwa tabasamu huku wakiburudika kwa nyimbo kutoka Kapotive Star Singers.
Waimbaji wa Kikundi cha Kapotive Star Singers Bukoba wakiwajibika jukwaani  na hapa ni baada ya kuingia kwa mara nyingine na tofauti ya nyimbo pia...
Waimbaji wa Kikundi cha Kapotive Star Singers Bukoba wakiimba wimbo wa Kihaya
Kapotive Star Singers Bukoba
Hakika Mungu akikupa kipaji basi yakupasa kukionesha vyema.....

Vijana nao walijitokeza kwa wingi katika uzinduzi huu
waimbaji wa Kukundi cha Kapotive wakiimba huku wakiwa wamevaa mavazi tofauti na nyimbo tofauti za kumtukuza Mungu...
Waimbaji wa Kukundi cha Kapotive wakiimba nyimbo ya Kazaliwa Mtoto!
Mtoto Yesu Kazaliwa tumsherehekee Na Kumshangilia Kwa Pamoja....
Wote kwa pamoja tuimbe na Tusherehekee...
Dada wakijiuliza Kuhusu Kapotive na uimbaji wao wa aina yake!!
habari moja..mbili tatu wakipeana dada hapa huku wakiendelea kuburudika
Baadhi ya wazazi walioudhulia Uzinduzi rasmi wa Album ya Kapotive Star singers wakifurahia uimbaji wa Kikundi hicho kilijinyakulia sifa kubwa mjini bukoba na Africa Mashariki.
Waimbaji wa Kwaya ya M.T John Bosco Vijana hawakusita kuwapa makofi wenzao!!
Kwa makini Baadi ya wazazi wakiwaangalia kapotive Kwa makini sana wakati wakiimba
Waimbaji wa Kwaya ya M.T John Bosco Vijana waliingia tena kumaliza wimbo wao wa mwisho!
Mwimbaji kutoka Jijini Dar es Salaam Upendo Nkone (kushoto) akiburudishwa na Wasanii wa kapotive Star Singers
Malaika.....Angalia mavazi ...hakika leo Kapotive wamekuja kitofauti zaidi..
Mpaka Camera Viganjani kwa kiongozi na Mlezi wa kikundi hicho akachukua kumbukumbu!!!
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani akiwatuza waimbaji wa Kapotive
Yes....yes....Askofu Msaidizi wa Jimbo Cathoric la Bukoba Methodius Kilaini (katikati) ambaye pia ndie Mlezi wa kikundi cha hiki Cha Kapotive Star Singers akionesha ishara ya kuwakubali zaidi vijana wake.
Mtoto kazaliwa hapa!! njooni mumuone!!
Huyu hapa!!
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani (kushoto) hakusita kuonesha lililoko moyoni mwake hapa taratibu na mzee Philbert walipiga makoti na kuimba pamoja na kikundi hicho cha Kapotive star Singers.
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani mikono juu..hakimu Mungu ni mkubwa Vijana wanajua kuimba!!
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani ...aaa...
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani (katikati) akiwakubali zaidi Kapotive
Kiongozi wa Kikundi cha Kapotive Star Singers Bw. Andrew Kagya (kushoto) akiangalia vijana wake wakijituma jukwaani.
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani akiwa na Album ya Kapotive Grand Collection  yenye CD sita ndani.
Mgeni Rasmi Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani akizungumza maneno machache kabla ya kuzindua Album hiyo ya ZAWADI YA CHRISTMASS 
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani akiteta jambo na mmoja wa waimbaji wa kikundi cha Kapotive star Singers Teddy Rweyendela 
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani tayari kwa kuzindua Album hiyo
Dk. Anatory Amani akinyoosha CD hiyo juu ikiwa pamoja na Grad Collection moja ya CD yenye Album sita kwa pamoja
Karibu tuzindue...
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani na Askofu Msaidizi wa Jimbo Cathoric la Bukoba Methodius Kilaini kulia wakionesha CD hiyo ya Zawadi ya Christmass inayoonekana juu ya Kasha.
Wakaongezea mzigo mwingine
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani (kati) Askofu Msaidizi wa Jimbo Cathoric la Bukoba Methodius Kilaini (kulia) na Mwenyekiti wa Kamati Bw. Philibert T. Katabazi.

No comments: