Wednesday, December 18, 2013

SSRA YAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA NBAA

 Mkurugenzi wa Uandikishaji na matekelezo Bi. Lightness  Mauki (kushoto) na wageni wengine wakisikiliza maelezo yanayotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NBAA bwana Pius Maneno ( hayupo pichani) wakati wa halfa ya utoaji tuzo ya NBAA wakati wa hafla ya utoaji tuzo za NBAA  iliyofanyika katika hotel ya Naura  Spring Arusha.
 Picha ya pamoja ya washindi wote wa kwanza wa tuzo ya NBAA.
 Mkurugenzi wa Fedha Utawala na Mipango Bwana. Mohamed Nyasama na Bi. Sarah Kibonde Msika Mkuu wa mawasiliano na uhamasishaji  wakiwa katika picha ya pamoja na  Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka na mara baada ya kupokea tuzo ya NBAA katika hotel ya Naura Spring –jijini Arusha.
 Picha ya pamoja ya wafanyakazi  wa SSRA mara baada ya kupokea tuzo ya NBAA wakiwa wshindi wa kwanza katika uwasilishaji wa mahesabu safi kwa kutumia mfumo wa IPSAS, wa pili kutoka kushoto ni bwana Athumani Juma – Mhasibu wa SSRA.
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi Irene Isaka akiongea na waandishi wa habari  kuhusu tuzo  ambayo ya NBAA ambayo  SSRA  wameipata wakiwa washindi wa kwanza .

No comments: