Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara (kushoto) akipeana mkono na Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing wakati akipokea Msaada wa Pikipiki 20 zilizotolewa kwa Kampuni ya Uchapishaji wa Magazeti ya Serikali (Tanzania Standard Newspapers),wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo nje ya Jengo la Golden Jubilee,Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN,Gabriel Nderumaki.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara (kushoto) na Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing wakiwa wamepanda pikikipi hizo ikiwa ni ishara ya kuzizindua kwa ajili ya Matumizi.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akipanda kwenye moja ya pikipiki hizo.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akitoa hotuba yake wakati wa hafla hiyo.
Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing akizunzumza machache wakati wa hafla hiyo.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN,Gabriel Nderumaki akizungumza.
Mwenyekiti wa Bodi ya TSN,Prof. Moses Warioba akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi,Mh. Dkt. Fenella Mukangara kuzungumza na Wafanyakazi wa TSN na wageni mbali mbali kutoka China.
Mwenyekiti wa Wafanabiashara wa China,Bw. Huan Zan Sen akizungumza machache.
Mwenyekiti wa Bodi ya TSN,Prof. Moses Warioba (kushoto) akimkabidhi Zawadi kwa Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akikabidhi zawadi kwa Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akiteta jambo na Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN,Gabriel Nderumaki.
Meza Kuu.
Baadhi ya Wafanakazi wa Kampuni ya TSN kutoka katika Idara mbali mbali.
Picha ya Pamoja.
No comments:
Post a Comment