Tuesday, October 22, 2013

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAANZA KUADHIMISHA MIAKA THELATHINI TANGU KUANZISHWA KWAKE

Kaimu Mkuu wa Idara ya Utafiti Bi. Caritas Mushi (Kushoto) na Mkuu wa Idara ya Mapitio Angela Bahati wakiwa katika uzinduzi wa kuadhimisha miaka thelathini ya kuanzishwa Tume.
Watumishi wa Tume wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) wakiomba Dua kwa pamoja wakati wa kuanza kuadhimisha miaka thelathini ya kuanza kazi Tume, maadhimisho rasmi yatafanyika Novemba 2013 kwa kufanyika shughuli mbalimbali ukiwemo mkutano mkubwa utakaohusisha wadau wa sheria.
Watumishi wa Tume wakiwa wamenyanyua Bilauri juu ikiwa ni ishara ya kusheherekea miaka thelathini ya kuanzishwa Tume.
Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa akizungumza wakati wa kuanza kuaadhimisho ya miaka thelathini ya Tume.
Keki inayoonesha miaka thelathini ya Tume
Makamishna wa Tume Profesa Sufian Bukurura (Kushoto) na Albert Msangi wakiwa katika kuadhimisha.
Mtumishi wa Tume Bw. John Namajojo akifurahia wakati wa kuenda kuchukua zawadi ya Simu.
Matayarisho ya kufunguliwa kwa shampeni.


No comments: