Saturday, October 12, 2013

BENKI YA CRDB TAWI LA AZIKIWE PREMIER YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Keki maalum iliyoandaliwa na Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier Jijini Dar es Salaam ikiwa imeandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier Jijini Dar es Salaam,wakiwa kwenye picha ya Pamoja kabla ya kuanza kukata keki maalum iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier Jijini Dar es Salaam,Fabiola Mussula (wa nne kushoto) akikata keki hiyo maalum kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja,huku akiangaliwa na Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki hiyo.
 Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier Jijini Dar es Salaam,Fabiola Mussula (kushoto) akiwalisha keki baadhi ya wateja wa Benki hiyo waliofika kupata huduma katika tawi lake.
Meneja Mikopo kwa Wafanyabiashara wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier, Mary Kimasa (wa tatu kulia) akimlisha kipande cha Keki,Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier Jijini Dar es Salaam,Fabiola Mussula.
"Happy Customer Service week......."
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier Jijini Dar es Salaam,Fabiola Mussula akimlisha Keki Afisa wa Benki hiyo Kitengo cha Wateja Maalum - Augusta Mfuru
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki hiyo,wakiwalisha keki wateja wao.

No comments: