Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Jumatano
tarehe 21 Agosti 2013 jioni alitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Wapya katika Press Conference iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mawasiliano.
Ifuatayo ni orodha kamili ya majina na vituo vya kazi vya
Makatibu Wakuu Wapya na Manaibu Katibu Wakuu, pamoja na waliohamishwa.
ORODHA YA MAKATIBU WAKUU WAPYA NA WANAOHAMA
S/NA.
|
JINA
|
JINSIA
|
ELIMU
|
CHEO CHA
SASA
|
WIZARA
ALIYOPANGIWA
|
1.
|
Dkt.
Florens M. Turuka
|
ME
|
BSc
(Agr)
MSc
(Agr Econ)
PhD
(Agr Econ)
|
Katibu
Mkuu
Wizara
ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
|
Ofisi
ya Waziri Mkuu
|
2.
|
Bibi
Joyce K. G. Mapunjo
|
KE
|
B.A.
(Econ)
M.A.
(Econ)
|
Katibu
Mkuu
Wizara
ya Viwanda, Biashara na Masoko
|
Wizara
ya Ushirikiano wa Afrika mashariki
|
3.
|
Bw.
Jumanne A. Sagini
|
ME
|
B.
A. (Ed)
M.A.
(Ed)
|
Naibu
Katibu Mkuu
Ofisi
ya Waziri Mkuu
TAMISEMI
|
Ofisi
ya Waziri Mkuu
Tawala
za Mikoa na Serikali za Mitaa
|
4.
|
Dkt.
Servacius B. Likwelile
|
ME
|
B.A.
(Econ)
M.A.
(Econ)
PhD
(Econ)
|
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
|
Wizara
ya Fedha
|
5.
|
Dkt.
Patrick S. Makungu
|
ME
|
BSC
(Mech Eng)
MSc
(Agr Eng)
PhD
(Agr Eng)
|
Naibu
Katibu Mkuu
Wizara
ya Mawasiliano,
Sayansi
na Teknolojia
|
Wizara
ya Mawasiliano,
Sayansi
na Teknolojia
|
6.
|
Bw.
Alphayo J. Kidata
|
ME
|
MSc
(Econ & Finance)
MSc
(Computer Appl)
|
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI
|
Wizara
ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
|
7.
|
Dkt.
Shaaban R. Mwinjaka
|
ME
|
BSc
(Agr)
MSC
(Farm Systems)
PhD
(Agr Econ)
|
Naibu
Katibu Mkuu
Wizara
ya Viwanda,
Biashara
na Masoko
|
Wizara
ya Uchukuzi
|
8.
|
Bw.
Uledi A. Mussa
|
ME
|
B.A.
(Econ)
PGD
(Econ)
|
Naibu
Katibu Mkuu
Wizara
ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki
|
Wizara
ya Viwanda, Biashara na Masoko
|
9.
|
Prof.
Sifuni E. Mchome
|
ME
|
LLB
LLM
PhD
|
Katibu
Mtendaji
Tanzania
Commission of Universities
|
Wizara
ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
|
10.
|
Bw.
Charles A. Pallangyo
|
ME
|
B.A.
(Econ)
M.A.
(Econ)
|
Naibu
Katibu Mkuu
Ofisi
ya Waziri Mkuu
|
Afya
na Ustawi wa Jamii
|
11.
|
Bibi
Anna T. Maembe
|
KE
|
BSc
(Botany)
MSc
(Ecology)
|
Naibu
Katibu Mkuu
Maendeleo
ya Jamii, Jinsia na Watoto
|
Maendeleo
ya Jamii, Jinsia na Watoto
|
12.
|
Bibi
Sihaba S. Nkinga
|
KE
|
Msc
(Transport)
|
Naibu
Katibu Mkuu
Wuizara
ya Habari, Vijana na Utamaduni
|
Wizara
ya Habari, Vijana na Utamaduni
|
13.
|
Bibi
Sophia E. Kaduma
|
KE
|
BSc
(Agr)
MSc
(Proj Plan)
|
Naibu
Katibu Mkuu
Wizara
ya Kilimo,
Chakula
na Ushirika
|
Wizara
ya Kilimo, Chakula na Ushirika
|
UHAMISHO
MWINGINE
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Peniel
M. Lyimo anahamia Ofisi ya Rais, IKULU, kwenye President’s Delivery Bureau,
kama Naibu Mtendaji Mkuu mwenye jukumu la kuanzisha na kuongoza Idara ya
Mageuzi ya Kilimo.
WATAKAOPANGIWA
KAZI NYINGINE
Makatibu Wakuu wafuatao watapangiwa kazi
nyingine:
1.
Bw. Sethi Kamuhanda, aliyekuwa
Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
2.
Bibi Kijakazi Mtengwa,
aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.
3.
Eng. Omari Chambo, aliyekuwa
Katibu Mkuu, Wizara ya Uchukuzi.
WANAOSTAAFU
Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Bw. Patrick Rutabanzibwa, anastaafu kwa hiari.
UTEUZI
WA NAIBU MAKATIBU WAKUU WAPYA NA UHAMISHO WA BAADHI YAO
1.
Bibi Angelina Madete,
Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira.
2.
Bibi Regina L.
Kikuli, Ofisi ya Waziri Mkuu.
3.
Bw. Zuberi M.
Samataba, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu).
4.
Bw. Edwin K. Kiliba,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
5.
Bw. Deodatua Mtasiwa,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya).
6.
Dkt. Yamungu
Kayandabila, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika.
7.
Prof. Adolf F.
Mkenda, Wizara ya Fedha (Sera).
8.
Bibi Dorothy S.
Mwanyika, Wizara ya Fedha (Fedha za Nje na Madeni)
9.
Bibi Rose M.
Shelukindo, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
10. Dkt.
Selassie D. Mayunga, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
11. Bibi
Monica L. Mwamunyange, Wizara ya Uchukuzi.
12. Bibi
Consolata P.M. Mgimba, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
13. Prof.
Elisante ole Gabriel Laizer, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
14. Bw.
Armantius C. Msole, Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
UHAMISHO
1.
Bw. John T. J. Mngodo
anatoka Wizara ya Uchukuzi kwenda Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
2.
Bw. Selestine Gesimba
anatoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwenda Wizara ya Maliasili na
Utalii.
3.
Eng.Ngosi C. X.
Mwihava anatoka Ofisi ya Makamu wa Rais na kuhamia Wizara ya Nishati na Madini.
4.
Bibi Maria H. Bilia
anatoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na kuhamia Wizara ya
Viwanda na Biashara.
5.
Bibi Nuru H. M. Milao
anatoka Wizara ya Maliasili na Utalii na kuhamia Wizara ya Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto.
No comments:
Post a Comment