Thursday, August 22, 2013

BENKI YA CRDB YAZINDUA KADI MPYA YA TEMBO CARD CHINA UNIONPAY

 Mkurugenzi wa Masoko Utafiti Huduma kwa Wateja wa benki ya CRDB, Tully Mwambapa akipeana mkono na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati wa hafla hiyo.
 Kikundi cha ngoma cha JKT kikitumbuiza wakati wa hafla hiyo.
 Waziri Mkuu akiangalia kikundi cha ngoma cha JKT.
 Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa hafla hiyo.
 Rais wa China UnionPay, Xu Luoude akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi mpya ya Tembo Card China UnionPay. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza.
Baadhi ya maofisa wa CRDB.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akiingiza kadi kwenye mashine ya kutolea fedha wakati wa uzinduzi wa kadi mpya ya Tembo Card China Union Pay ambayo itamuwezesha mteja wa benki ya crdb kufanya malipo yake akiwa China. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, CRDB, Martin Mmari na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati)
  Waziri Mkuu Mizengo Pinda, (kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu, balozi wa China, Dk. Lu Youqing, Rais wa China UnionPay, Xu Luoude wakizindua kadi mpya ya Tembo Card China UnionPay, itakayomuwezesha mteja wa benki ya crdb kufanya malipo yake akiwa China. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.

 Baada ya uzinduzi.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa fedha katika mashine ya ATM.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China UnionPay, Xu Luoude wakati wa uzinduzi kadi mpya ya Tembo Card China UnionPay. 
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, (kushoto), akiwa katika ;picha ya pamoja na balozi wa China, Dk. Lu Youqing (kushoto) na Rais wa China UnionPay, Xu Luoude. 
Picha ya pamoja.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja. 
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.

No comments: