Friday, July 19, 2013

Luqman Dau alamba nondooozzzzz yake ya BSc (Hons) Molecular Biology University of Sheffield,Uk

Mdau Luqman Ramadhan Dau akiwa katika joho mara baada ya Kulamba Nondozz yake ya BSc (Hons) Molecular Biology University of Sheffield Jumatano Julai 17,huko nchini Uingereza.
Mdau Luqman Dau akiwa na Wazazi wake,Ndg. Ramadhan Dau na Mama Zeinab Dau wakati wa wakati wa Sherehe ya kulamba nondooozzzzz  yake ya BSc (Hons) Molecular Biology University of Sheffield Jumatano Julai 17.
Luqman akiwa na "Meya wa London" Haruna Mbeyu na Uwesu Katundu ambaye nae alilamba nondozz zake De Mont fort University ya Leicester Jumamosi iliyopita.
Luqman akiwa na wadau mbalimbali akiwemo Uwesu Katundu, "Meya wa London" Haruna Mbeyu, Katibu wa Diaspora UK Mariam Mungula, Abdul Dau, mke wa Dr Dau Zeinab na mama mzazi wa Dr Dau.
Luqman akiwa na wadau mbalimbali
Luqman akiwa na "Meya wa London" Haruna Mbeyu, Abdul Dau, Safia Dau, Uwesu Katundu, mdau Kassim kutoka Ujerumani na mdau Hakimu wa Bagamoyo.




No comments: