Friday, March 8, 2013

WAFANYAKAZI WA VODACOM WALIVYOSHEREHEKEA SIKU YA WANAWEAKE DUNIANI LEO

Wanawake wanaofanya kazi katika kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wakibadilishana mawazo wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani.
Baadhi ya wanawake wanaofanya kazi katika kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wakiwa kwenye pozi wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani.
Mamaaaa weweee!Siku ya ukweli ya kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Nakuambiaaa...
Majadiliano ya hapa na pale wakati wa sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Kujichana nako muhimu,baba nae yumo Mwakifulefule ndani ya sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Msosi muhimu
Mvua haizuii sherehe yetu ya wanawake duniani tumo tu...
wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Kata cake tuleeeeee kata cake tuleeeeeeeeeee!walisikika wakina mama wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania.
Mambo ya kuyarudi magoma.
Dr.Mweta akiwa katika pozz balaaaa wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania utamtaka!
Mama Victor ambae ni mtoa mada wa siku hii ya wanawake duniani akiongea na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania.

No comments: