Monday, March 11, 2013

JK aongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya kocha at

 Jeneza lenye kubeba mwili wa marehemu Athumani Kilambo likiwasili katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo tayari kwa mazishi.
 waombolezaji wakimsindikiza kocha Athumani Kilambo katika safari yake ya mwisho
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili makaburini hapo, akiongozana na Katibu Mkuu wa Pan Africa Saad Mateo (kati) na Mhe. Matimbwa
 Mazishi yameanza
 Sehemu ya Umati wa waombolezaji
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini
 Rais Kikwete akisalimiana nanMwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Ramadhani Madabida akiweka udongo kaburini
 Mbunge wa Ilala Mussa Hassan Zungu akimzika mwalimu Kilambo
 Mfadhili wa Pan Africa Shiraz Shariff akiweka udongo kaburini
 Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji akimzika Kocha Kilambo
 Mhe Matimbwa akiweka udongo kaburini kwa niaba ya timu ya Red Star
 Scina Martin akiweka udongo kwa niaba ya timu ya Asante Tololo
 Rais Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa Yanga Lawrence Mwalusako
 Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF Sunday Kayuni akiweka udongo
 Katibu wa Saigon Sports Club Kaka Boi akiweka udongo kaburini
 Kaka Azizi akiweka udongo kaburini kwa niaba ya Azam FC, Jugnu Mehu na pia Mchikichi Boys
 Gebo Peter akiwakilisha Klabu ya Express
 Mzee Ugundo akimzika kocha Kilambo
 Mkongwe Abdulrahman Lukongo akiweka udongo kaburini
 Kitwana Manara Popat akiweka udongo kaburini
 Mkongwe Abdulrahman Lukongo anashindwa kujizuia
 Wazee maarufu mbalimbali walifika kuzika
 Mwenyekiti wa zamani wa Simba Hassan Dalali akiweka udongo


 Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji akiteta na katibu mkuu wake Lawrence Mwalusako
 Rais Kikwete akisalimiana na Sunday Manara 'Computer' huku Shiraz Shariff akienda kupeana mikono na Ramadhani Madabida
 Wakongwe wa Pan Africa wakiwasili mazikoni
Mzee ugundo na Mzee Born City wakiwasili
Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa wanachama wakongwe wa Pan African

No comments: