Wednesday, February 27, 2013

uzinduzi wa kituo cha UKRAINIAN - AFRICAN EDUCATION CENTRE.

 Mhe. Vil Bakirov - Rector wa Kharkiv National University named after V.N. Karazin, akiongea na waandishi wa habari.
 Nao wanazuoni hawakuwa nyuma kuonesha dansi zao za kitamaduni.
  Wanazuoni wakiwakilisha Nigeria vilivyo kwa dansi zao kiustadi zaidi. (NAIJA PEOPLE SAY "WAHALA NO DE")
  Mdau Elias Manaseh Mwana na Ndg. Muki Lee (The Euro) nao walishiriki katika uzinduzi wa kituo cha UKRAINIAN - AFRICAN EDUCATION CENTRE.
 Wanazuoni wakiTanzania wakifurahia matukio.
 Wanazuoni wa kiTanzania waishio Ukraine katika picha na Balozi wa Tanzania nchini Urussi, Mhe. Jaka Mwambi na Msaidizi wake - Mhe. Mbarouk N. Mbarouk.
 Wanazuoni wakiTanzania Elias Mwana, Tim Carter na Slim Shahbal katika pose wakati wa short-event break.


  Wanazuoni wakitanania waishio miji ya Kharkov na Sumy wakiwa katika pose mbele ya V.N. Karazin University.
 (L-R) Ndg Juma Hajj Nakhunte - Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanazuoni wakiTanzania mjini Kharkov,Ukraine, Mhe. Balozi Jaka Mwambi - Balozi wa Tanzania nchini Urussi, Mhe. Mbarouk N. Mbarouk - msaidizi wa Balozi wa Tanzania nchini Urussi na Ndg. Mkama Edward wakifafanua maswala mbalimbali kwa wanazuoni wa kiTanzania nchini Ukraine.
   (L - R) Mhe. Vil Bakirov - Rector wa Kharkiv National University named after V.N. Karazin, Mhe. Irina Gagarina - Director of Ukrainian State Centre of International Education of Ukraine, Balozi wa Angola nchini Urussi, Mhe. Jaka Mwambi - Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini  Urussi wakipongezana kwa uzinduzi wa kituo cha UKRAINIAN - AFRICAN EDUCATION CENTRE.

 (L-R) Mhe. Mbarouk N. Mbarouk - Msaidizi wa Balozi wa Tanzania nchini Urussi, akiwa katika picha na mwanazuoni anaewakilisha Kenya na Frank Mndeme - mwanazuoni anaewakilisha Tanzania.
 Wanazuoni wa fani mbalimbali wakiwa wamezibeba bendera za nchi zao mbele ya waandishi wa habari.
 .Mhe. Jaka Mwambi - Balozi wa Tanzania nchini Urusi  (SHOTO) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari . Ndg. Edward Mukama (Kulia) akitoa tafasiri ya majibu baina ya Balozi na waandishi wa habari.
 Nao wanazuoni hawakuwa nyuma kuonesha dansi zao za kitamaduni.
 Mhe. Vil Bakirov - Rector wa Kharkiv National University named after V.N. Karazin, Balozi wa Angola nchini Urussi,   Mhe. Irina Gagarina - Director of Ukrainian State Centre of International Education of Ukraine na  Mhe. Jaka Mwambi - Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini  Urusi wakijitambulisha mbele ya wageni waalikwa katika sherehe hiyo.
L-R) Wanazuoni kutoka Nigeria, Tanzania, Tunisia na Kenya.

No comments: