Tuesday, February 26, 2013

UJUMBE WA OMAN WAANDALIWA CHAKULA CHA USIKU ZANZIBAR

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,na Mawaziri wengine walipoungana katika hafla ya chakula  maalum kwa ujumbe wa wa Serikali ya Watu wa Oman ulioongozwa na Waziri Yussuf bin Alawi bin Abdullah,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar 
 Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman,Yussuf bin Alawi bin Abdullah,akichukua chakula wakati wa hafla maalum kilichoandaliwa  kwa ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman ulioongozwa na Waziri Yussuf,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
 Baadhi ya Viongozi wa Ujumbe wa Nchini Oman na Viongozi wa Taasisi mbali mbali hapa Zanzibar wakiwa katika  hafla ya chakula  maalum kwa ujumbe wa wa Serikali ya Watu wa Oman ulioongozwa na Waziri Yussuf bin Alawi bin Abdullah,(hayupo pichani) katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,(kushoto) akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman  Yussuf bin Alawi bin Abdullah,akiongoza ujumbe wake katika hafla ya chakula maalum,kilichoandaliwa kwa ujumbe huo,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
 Viongozi wa Ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman,wakichukua chakula wakati wa hafla maalum kilichoandaliwa  kwa ujumbe huo,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
 Viongozi  wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,waliojumuika na ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman,wakichukua chakula wakati wa hafla maalum kilichoandaliwa  kwa ujumbe huo,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
Viongozi  wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,na taasisi za binafsi walipojumuika na ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman,wakichukua chakula wakati wa hafla maalum kilichoandaliwa  kwa ujumbe huo,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar. 
Picha zote na Ramadhani Othman wa Ikulu, Zanzibar

No comments: