Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga katikati wa tatu kutoka kulia, Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki kushoto na Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch & Wizard Creative (PYT) Ltd wakisaini mkataba wa makubaliano ya kuanzisha onesha la Utalii litakalojulikana kwa jina la Swahili Tourism Fair kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, ambalo kwa mara ya kwanza litafanyika nchini Tanzania kwenye ukumbi huohuo wa Mlimani City Dar es salaam kuanzia Oktoba 2-5 mwaka huu, Wanaoshuhudia tendo hilo la kusainiwa kwa mkataba huo nyuma ni Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania na kulia ni Ian Kaduma Mwanasheria wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Kampuni ya Witch & Wizard Creative (PYT) Ltd Pia ndiyo inayoandaa maonyesho makubwa ya utalii nchini Afrika Kusini yanayojulikana kama Indaba Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd akisaini mkataba huo huku Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akishuhudia tukio hilo kushoto ni Ian Kaduma Mwanasheria wa TTB
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga na Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakibadilishana mikataba mara baada ya kusainiwa katikati wanaoshuhudia ni Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga na Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakionyesha mikataba mara baada ya kusainiwa katikati wanaoshuhudia ni Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB DK Aloyce Nzuki akijadili jambo na wakuu wake wa vitengo katikati ni Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii na kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko Bi. Devotha Mdachi
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga akizungumza na Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Dk. Aloyce Nzuki kabla ya kusainiwa kwa mkataba huo leo katikati ni Meneja Huduma za Utalii Philip Chitaunga na Mkurugenzi wa Masoko Devotha Mdachi
Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City tayari kwa kusaini makubaliano hayo wanaosalimiana na Ian Kaduma Mwanasheria wa TTB na Philip Chitaunga Meneja Huduma za Utalii TTB
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga akisalimiana na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd mara baada ya kuwasili ukumbini hapo leo kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Dk. Aloyce Nzuki na maafisa wa TTB
Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Dk. Aloyce Nzuki akiwatambulisha wakurugenzi wa ya kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga kulia ni Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd na kushoto ni Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd
Mkurugenzi wa Masoko Bodi ya Utalii Bi Devotha Mdachi katikati akiwa katika picha ya pamoja na maafisa mbalimbali wa Bodi hiyo
Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akiongozwa na Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii Bodi ya Utalii TTB mara baada ya kuwasili ukumbini hapo leo
Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko TTB Bi Devotha Mdachi kulia ni Geofrey Meena Meneja wa Masoko wa Bodi hiyo.
Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akisalimiana na Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Geofrey Meena mara baada ya kuwasili ukumbini hapo leo.
Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akisalimiana na Mwanasheria wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Ian Kaduma
Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga katikati ni Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Dk. Aloyce Nzuki
Kutoka kushoto Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki ,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga, Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania , Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakisubiri kusainiwa kwa mkataba huo
Maafisa mbalimbali wa Bodi ya Utalii, na Ubalozi wa Afrika Kusini wakishuhudia utiaji saini wa mkataba huo
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga akizungumza katika hafla hiyo
Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania naye akatoa maneno yake ya hekima kwa kusainiwa mkataba huo.
Kutoka kushoto Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki ,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga, Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania , Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakiwa katika picha ya pamoja
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki akizungumza katika hafla hiyo ya utiaji saini mkataba wa kuanzishwa kwa onesho la Swahili Tourism Fair
Kutoka kushoto Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki ,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga, Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania , Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa bodi ya utalii
No comments:
Post a Comment