Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( kushoto) akiwakabidhi bati
24 kwa viongozi wa CCM Tawi la Kwa Mayambi, kata ya Sungaji ili
kuezekea jengo la Ofisi.
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( kushoto) akikabidhi viti
45 kwa uongizo wa CCM Kata ya Sungaji ili vitumike wakati wa mikutano ya
Chama
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( kulia) akimkabidhi kitabu
cha somo la sayansi ikiwa ni sehemu ya vitabu 121 kwa Mkuu wa Sekondari
Adrian Mkoba ,Harold Mhando
Mbunge
wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( kati kati) akiwa na baadhi ya
viongozi wa kitiuo cha kulea watoto yatima cha Mzumbe pamoja na Diwani
wa Kata ya Mzumbe akipotembelea Kituo hicho na kutoa misaada mbalimbali
Mbunge Amos Makalla akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto
yatima wa kituo cha CDTFN kilichopo Kata ya Mzumbe, wilayani Mvomero.
Baadhi ya walimu wa sekondari Adrian Mkoba pamoja na wanafunzi wa
shule hiyo wakimsikiliza Mbunge wao Amos Makalla aliyeteembelea Shule
hiyo na kutoa msaada wa vitabu vya masomo mbalimbali , jezi na mipira.
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( kulia) akimkabidhi fedha
sh.360,000 Katibu wa kikundi cha vijana 100 wa Kijiji cha Msufini, Kata
ya Hembeti,Victor Thobias, ili kununua mbegu za vitunguu.
Mbunge
wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( wapili kutoka nyuma) ambaye pia ni
Naibu Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo akiongozana na
baadhi ya viongozi wa Kijiji cha Mlaguzi kukagua ujenzi wa Zahanati
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wapili kushoto) akipata
kifungua kinywa na wezake alichokuwa ameandaliwa na baadhi ya wananchi
wa Kijiji cha Msufini, Kata ya Hembeti.
No comments:
Post a Comment