Mgeni
Rasmi katika Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa
wa Bima ya Afya (NHIF),Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.
Seif Rashid akitoa ufafanuzi wa Wizara juu ya maswala ya afya hapa
nchini wakati wa Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),linaloendelea leo kwa siku ya pili kwenye
Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Msajili
wa Baraza la Pharmacy Tanzania,Dkt. Mildred Kinyawa akiwasilisha mada
yake ya kuuhusiana na Usajili wa Maduka ya Dawa Baridi Vijijini wakati
wa Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF),linaloendelea leo kwa siku ya pili kwenye Ukumbi wa
Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Katibu
Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania,Nevile Meena akiwasilisha ya kuhusu
Mchango wa Vyombo vya Habari katika Sekta ya Afya,katika Kongamano la
Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF),linaloendelea leo kwa siku ya pili kwenye Ukumbi wa Benjamin
Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Meneja
Ufuatiliaji na Tathmini ya Mipango Kazi na Mpango Mkakati kutoka Bohari
Kuu ya Dawa Tanzania (MSD),Cosmas Nalimi akiwasilisha Mada ya Kuhusu
Upatikanaji wa Dawa Vijijini,katika Kongamano la Nane la Wanahabari na
Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),linaloendelea leo kwa
siku ya pili kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha
Ualimu Mkoani Mtwara.
Meneja
Ufuatiliaji na Tathmini ya Mipango Kazi na Mpango Mkakati kutoka Bohari
Kuu ya Dawa Tanzania (MSD),Cosmas Nalimi akiwasilisha Mada.
Mmoja
wa Watafiti wa Maswala ya Afya katika Mkoani wa Singida,Sharoon Saura
akiwatisilisha taarifa yake aliyoiata kutokana na Utafiti wake
alioufanya katika Mkoa huo,wakati wa Kongamano la Nane la Wanahabari na
Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),linaloendelea leo kwa
siku ya pili kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha
Ualimu Mkoani Mtwara.
Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) Wilaya ya Meatu,Anna Muleba akitoa taarifa ya Uzoefu wa Halmashauri juu ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),wakati
wa Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya (NHIF),linaloendelea leo kwa siku ya pili kwenye Ukumbi wa
Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Mwenyekiti
wa Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya (NHIF),John Bwire (kushoto) akiwa pamoja na Afisa Habari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,Grace Kisinga.
Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya,Mh. Abbas Kandoro (kushoto) akiwa na Mkurugenzi
Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya,Emmanuel Humba wakifatilia Mada mbali
mbali zinazoendelea kutolewa kwenye Kongamano la Nane la Wanahabari na
Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),linaloendelea leo kwa
siku ya pili kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha
Ualimu Mkoani Mtwara.
Wadau wa Kongamano hilo wakifatilia Mada mbali mbali zinazoendelea kutolewa.
Baadhi ya Wanahabari kutoka Vyombo mbali mbali vya Habari wakifatilia kwa makini Mada zinazotolewa kwenye Kongamano hilo la nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),linalofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Wakali wa Uchoraji wa Vibonzo hapa nchini,toka kulia ni Masoud Ally Kipanya,King Kinya pamoja na Nathan Mpangala a.k.a Kijast Bikozzz wakifatilia
kwa makini Mada zinazotolewa kwenye Kongamano hilo la nane la
Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF),linalofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo
ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Wadau Wakifatilia Mada.
Mtangazaji wa Kituo cha Star TV,Tom Chilala akiuliza swali kwa watoa Mada wa Kongamano
hilo la nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF),linalofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo
ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Mchojari
wa Vibonzo vya Kipanya,Masoud Ally akichangia mada na kuuliza swali kwa
watoa Mada wa Kongamano hilo la nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),linalofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa
Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Wadau Stephen Wang'anyi (Muwakilishi wa ITV na Radio One,Shinyanga),Augustine Nigendi wa Channel Ten,Mara) pamoja na George Maratu wa ITV Mara waperuzi.
Mdau kutoka Mkoani Lindi,Abdulaziz Video akiendeleza libeneke wakati wa Kongamano
hilo la nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF),linalofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo
ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani Mtwara.
Wanahabari wakiendeleza Libeneke.
No comments:
Post a Comment