Monday, February 11, 2013

CHADEMA WAANDAMANA DAR LEO


Viongozi wa CHADEMA wakiongoza maandamano kuelekea Temeke
Mhe. Tundu Lissu akiongea na wanaChadema Temeke Leo Jumapili Feb 10, 2013 baada ya kuwapokea wabunge wao Ubungo na kufanya nao maandamano hadi Temeke na Wabunge wa chama hicho kuwajuza yaliyojilri Bungeni Dodoma wakiwatuhumu Spika na Naibu wake kukipendelea chama tawala
Mbung wa Ubungo Mhe.  John Mnyika naye akihutubia Wafuasi wa CHADEMA, Temeke leo Jumampili Feb 10, 2013 baada ya wanachama hao kuwapokea Wabunge wao tokea Ubungo na kufanya nao maandamano hadi Temeke
Mb. Godbless Lema nae akihutubia huku akisema dhambi kubwa kuliko yote ni uoga
Viongozi wa CHADEMA wakiwa meza kuu
Mb. Peter Msigwa nae akihutubia wafuasi wa CHADEMA Temeke leo Jumapili Feb 10, 2013
Dkt. Wilboard Slaa akiwasalimia wana Chadema waliofika kwenye mkutano huo
Wafuasi wa CHADEMA wakiwa kwenye maandamano kuelekea Temake
kwa picha zaidi bofya read more
CHADEMA Family nao katika maandamano
Askari wa Usalama barabarani akilizuia gari kwa ajili ya kupisha maandamano

Mb. Halima Mdee

No comments: