Mhe. Baby Mgaza akiwa na amejiremba na mitindo ya M4C
Kadi hii hapa..
Katibu mwenyekiti wa upande wa wanawake Mhe. Baby Mgaza wakati alizungumza na wana DMV
wadau
Utaifa mbele
Wazee pamoja na Uongozi mzima wa Tawi la CHADEMA-DMV wakiongea mustakabali wa mambo mbalimbali yanayoihusu Tanzania
Wanachama wa CHADEMA DMV wakiwa na baadhi ya wana DMV katika sherehe hiyo
Baadhi ya wana-DMV waliohudhuria ndani ya hafla hiyo ilioandaliwa na tawi la CHADEMA DMV
Nasie tumo...Mmiliki wa swahilivilla. blogspot.com (kofia nyekundu) aliyeleta taswira hizi na wadau
Mkereketwa
Maktibu kwa upande wa wanawake Mhe. Baby Mgaza (kushoto), na Mwenyekiti wa wanawake Tawi la CHADEMA-DMV Mhe. Fatma Khamis.
Katibu wa Chadema DMV Mhe. Isdori Focus Lyamuya alitoa changamoto za kukitakia chama chake maendeleo na ushirikiano mwema katika mpango mzima wa kuaga Mwaka 2012 na kukaribisha mwaka mpya 2013 M4C. |
mwenezi wa CHADEMA Mhe. Hussein Kauzera maarufu kama DJ Rodgers akimwaga sera na hotuba makini kuhusu sherehe ya kuuaga mwaka 2012 na kukaribisha mwaka mpya 2013 M4C |
Mwenyekiti wa Tawi la Chama cha CHADEMA DMV Mhe. Cosmas Wambura, akiwahamasisha wana DMV kuhusu mipangilio ya Chama pamoja na kusisitiza mpango mzima wa kujiunga na tawi hilo liliopo Washington DC kwa nia njema ya kuitakia Tanzania mabadiliko ya M4C katika mwaka mpya wa 2013 ambao ni mategemeo makubwa ya kusonga mbele.
Wadau shereheni
Muongozaji na mshereheshaji katika hafla hiyo MC Jacob Merere akipata picha ya pamoja kwenye sherehe ya kuaga mwaka 2012 na kukaribisha mwaka mpya 2013 M4C.
Baadhi ya ma CCM-DMV, Katibu Mwenezi, Benjamin Mwaipaja (wa pili kushoto) akiwa na Yasini Landi (wa kwanza kulia), kama kawaida yao washereheka kama Watanzania wanaojali Taifa lao!
Profesa Boaz (katikati) akiwa na Mhe. Atha pamoja na mkereketwa wa CHADEMA Bw. Emmanuel Muganda wakibadilishana jambo katika sherehe ya CHADEMA-DMV.
Mshereheshaji wa tukio zima la hafla hiyo MC Jacoub akifanya vitu vyake.
Mwenyekiti wa Wanawake Mhe. Maryam Khamis akiongea na wana DMV katika hafla hiyo |
No comments:
Post a Comment