Wadau kibao katika mnuso wa nguvu katika kiota cha maraha cha Stallion Garden Mikocheni Mlalakuwa jijini Dar es salaam baada ya Frank Optatus Komba na Sanura Haji Kihemka kumeremeta usiku wa kuamkia leo
msosi tyme...
wadau wakijichana
wadau
Missie Popular ndani
wadau
Wadau kibao
Wafanyakazi wenzie Bw Harusi wakila pozi
Mapozzzzz
MC Mang'enya ndani ya nyumba
mmmmmwwwwwwwaaaaaaa.....
Dunia njema wawili wawili
Wapendanao Frank na Sanura wakifungua muziki kwa furaha
Kitambaa cheupe mama.... oooo ziboraaaa....
Ni wakati wa kwaito
Mwanamke tabasamu babu....
Pozi na wadau
Wadau
Maharusi waklisalimia wadau
Furaha na wadau
Wadau na maharusi
Meza kuu ikifanya chiaaaazzzzzzzz....
Smile la nguvu....
Mapozi na wadau wa karibu wa maharusi
Wadau wakila pozi na maharusi
Wafanyakazi wenzie Bw harusi
Ankal Funto na bintiye wakila pozi
Meza ya wadau wa Sanura
Kadi ya pongezi ikiandaliwa
Familia
Dada akitioa mawaidha kwa maharusi
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Salva akiongoza wafanyakazi wenzie Sanura kwenda kumpa zawadi na pongezi
Meza ya wazaa chema
Kadi ikipelekwa
Wafanyakazi wenzie Sanura wakienda kumnpongeza
Pongezi maharusi
Ankal akijimwayamwaya na maharusi
Salva akitoa neno kwa niaba ya wafanyakazi wenzie Sanura
Salva akiwapongeza maharusi na wapambe wao
Salva akiwa na maharusi na wafanyakazi wenzie
Hongera na muziki
Wafanyakazi wenzie Bi Harusi wakimpongeza Sanura
Meza ya wajomba
Hongera shosti....
Bw Harusi akitambulisha familia yake
Wapambe
Meza ya wafanyakazi wenzake na Bi Harusi
Msosi wa nguvu...hamna noma wala nini....
2 comments:
Nashukuru Sana Shughuli ya causin wangu imefanyike vizuri sana.MiE NI DADA YAAKE MBAYE NIKO SOTH AFRIKA NASIKITIKA SANA SIKUWEZA KUHUDHURIA SHUGHURI HII LAKINI MWENYEZI MUNGU ALIKUWA PAMOJA NASI SOTE,,NAPENDA KUMPONGEZA SANA FRANK KWA HATUA YA KIMAISHA ALIYOFIKIA.NAWAOMBEA MWENYEZI MUNGU AWALINDE KATIKA MAISHA YENU YA RAHA KATIKA NDOA..SIRI PEKEE YA NDOA NI KUPENDANA NA KUMTANGULIZA MUNGU KWA SALA KILA SIKU MKIAMKA NA MKIENDA KULALA NA MWASILIANO PIA NI KITU CHA BUSARA SANA.MUNGU AWALINDE TUTAONANA NEXT WEEK.I LOVE YOU.
Hongereni sana ni jambo jema na lenye baraka though sikuweza kuhudhuria au kushiriki lkn numefurahi Sanura ni rafiki yangu ambaye tumepitia nae mengi so nafarijika kumuona amepiga hatua nzuri ya kimaisha. Nawaombea kheri, upendo, amani na mafanikio ktk ndoa yenu.
Post a Comment