Wednesday, November 14, 2012

HILL VIEW HOTEL NDANI YA JIJI LA MBEYA NI BALAAA....

 Kama umefika jijini Mbeya na hujafika katika kiota hiki cha Hill View Hotel,basi jua kabisa kuwa bado hujalifaidi jiji la Mbeya.Hiki ni kiota cha kipekee kabisa ndani ya jiji hilo na kipo maeneo ya Uzunguni,sehemu iliyotulia na yenye muonekano wa kipekee,ni sehemu ambayo ina hadhi ya kimataifa kuanzia muonekano wake wa nje mpaka ndani ukiingia.huduma zake ni bora na hakuna kwa kulinganisha nako.Kiukweli sifa zote nzuri zinastahiki katika Hoteli hii.
 Muonekano wa nje katika Lango kuu la kuingilia.
 Majengo Mazuri ya Hoteli hiyo yakiambatana na sehemu nzuri za maegesho ya Magari.
 Sehemu tofauti tofauti za kupumzikia wageni wafikiao katika hoteli hiyo. 
 

Sehmu ya Vyumba vya Kulala.
 Wash Room ya kisasa. 
Mrembo akipata nyuzzz huku akiwa ndani ya Jaccuzi
 Kazi na Dawaa.. 
 Mteja akisajiliwa pindi alipowasili hotelini hapo.
 aaaahhhh..... kwa Raha zake mwenyeweeee.....
 Bustani ya kuvutia.
 Sehemu ya hoteli hiyo.
 swala la Umeme katika hoteli hii ni la uhakika kwani kuna Jenereta la Kisasa ambalo ni Automatic iwapo umeme wa kawaida ukizima lenyewe linapokea moja kwa moja.
 sehemu ya kulia chakula.
 Sehemu moja ya Majiko ya kisasa yaliopo katika hoteli hiyo. 
 Huduma ikiendelea kutolewa Sehemu ya Bar.
 Sehemu ya Mapokezi.
 
 Baadhi ya Vyakula vinavyopatikana hotelini hapo. 

1 comment:

Anonymous said...

Kaka michuzi tuwekee website ya hotel ili tuone gharama zake ziko vipi pia. Hata kama mtu anapanga safari kujua bajeti ni muhim.