Wednesday, September 5, 2012

wadau edson na lydya wameremeta songea

 Maharusi na wapambe wao wakigonga cheers juu.
 Bi Harusi Lydya Kabyazi akitembea kugonga cheers na wazazi wake hawapo pichani wakati wa sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika katika ukumbi wa St  Joseph mjini songea
 Bi harusi Lydya Kabyazi akigonga cheers na mzazi wa mumewe mhandisi Method Byabato jana wakati wa sherehe ya kuwapongeza kufuatia kufunga ndoa katika kanisa la Mwenage jimbo la Bukoba mkoani Kagera hivi karibuni.
 Bw na Bibi Harusi  Edson Kabyazi na Lydya Kabyazi wakinyweshana champen wakati wa sherehe ya kuwapongeza katika ukmbi wa St Joseph Songea jana.
 Edson Kabyazi kushoto akikabidhi keki kwa mzazi wake mhandisi Method Byabato jana wakati wa sherehe ya kumpongeza Edson na mkew kufuatia kufunga ndoa huko mkoani Kagera hivi karibuni na sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika katika ukmbi wa St Joseph Manispaa ya Songea jana.
  Maharusi wakiwa na keki
 Maharusi wakilishana vipande vya nyama ikiwa ni ishara ya upendo.



                             PICHA NA MUHIDIN AMRI

No comments: