Balozi Radhia Msuya akipozi na Jumuiya ya WaTanzania waishio Afrika ya Kusini Mara baada ya uchaguzi wa viongozi.
Balozi akiwa na Mama Fatuma Ally
Bw. Ibrahim Bukenya ndiye aliechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya waTanzania nchini Afrika ya Kusini. |
Bw. Adam ambaye ni mpishi maaruf alipata fursa ya kuteta na Balozi |
Balozi akiwa na viongozi waliochaguliwa
Balozi Radhia Msuya akizungumza na Jumuiya ya WaTanzania waishio Afrika ya Kusini Mara baada ya uchaguzi wa viongozi. Aliwaasa wadumishe umoja ili wasaidiane wakati wa shida na kufurahi pamoja wakati wa furaha. Ailwaasa wafuate sheria za nchi na kukumbuka kuwekeza nyumbani. Balozi aliwahimiza wajihusishe na michakoto Mbalimbali ikiwemo mjadala wa kurekebisha Katiba.
Bw. Hamza Omar Mokiwa msimamizi wa uchaguzi akitoa maelekezo kwa wanachana wa Jumuiya Ya WaTanzania wakati wa kupiga kura.
WaTanzania walipata fursa ya kueleza mutatizo yanayowakabili wanapofika Ubalozini. Balozi aliahidi kushughulikia kero za na kudos namba yake ya simu ili iwe rahisi kupata msaada ikihitajika. Baadhi Yao walipata fursa ya kuonana Ana kwa ana na Balozi ili kueleza shida za binafsi.
Mie nashukuru kusikilizwa na Balozi anasema mwanajumuiya
Mie shida yangu ni hii...anaambiwa Balozi kwa maandishi
Balozi akipokea shida kutoka kwa mwanajumuiya
No comments:
Post a Comment