
Ndugu wa marehemu Moses Has Pope wakiwa katika picha ya pamoja baada ya shuguli ya mazishi katika makaburi ya Mkanyageni, Iringa

Pacha wa marehemu, Aldo Hans Pope, na mkewe wakiweka shada la maua kaburini

Mke wa marehemu Stella pamoja na watoto wakiweka shada la maua katika kaburi.




Mjomba wa marehemu akiwa ameambatana na mama wa marehemu moses wakielekea makaburini mkanyageni Manispaa ya Iringa.

2 comments:
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie. Apumzike kwa amani amina
pumzika kwa amani ndugu yetu moses,tutakukumbuka sana,tulikupenda lakini mungu amekupenda zaidi,amin,
Post a Comment