RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA
MASUALA YA UKIMWI KUANZIA 13 - 25 MEI, 2012
__________________________
UKUMBI: MKWAWA
____________
TAREHE/SIKU | KAZI ZA KUFANYA | WAHUSIKA | ||||
JUMAPILI 13/05/2012 | Wajumbe kuwasili Dar es Salaam | · Wajumbe · Katibu wa Bunge | ||||
JUMATATU 14/05/2012 | · Shughuli za Utawala · Kupitia Ratiba | · Wajumbe · Sekretarieti Wajumbe | ||||
JUMANNE 15/05/2012 | Kutembelea miradi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) iliyo chini ya programu ya Mwitiko wa Jamii Dhidi ya UKIMWI(MJADU) | · Wajumbe · Ofisi ya Waziri Mkuu · TASAF · TACAIDS | ||||
JUMATANO 16/05/2012 | Kukutana na Shirika la Health Development Trust na kujadili Taarifa kuhusu programu mbalimbali za Shirika kuhusu Masuala ya UKIMWI, mafanikio na changamoto. | · Wajumbe · Ofisi ya Waziri Mkuu · Health Development Trust · TACAIDS | ||||
ALHAMISI 17/05/2012 | Kukutana na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) kujadili Taarifa ya kujitoa kwa baadhi ya wafadhili wa Masuala ya UKIMWI na Mipango ya Serikali kuziba pengo hilo. Kukutana na Shirika lisilo la Serikali la SIKIKA na kujadili masuala yanayohusu bajeti inayotengwa na Serikali kwa ajili ya Masuala ya UKIMWI | · Wajumbe · Ofisi ya Waziri Mkuu · SIKIKA · TACAIDS | ||||
IJUMAA 18/05/2012 | Kukutana na MEWATA (Medical Women Association of Tanzania) kujadili taarifa kuhusu shughuli za Chama hususan katika Masuala ya UKIMWI, Mafanikio na Changamoto. Kukutana na International Center for AIDS Care and Treatment Programs (ICAP) na kupokea taarifa kuhusu kazi zinazofanywa na Shirika hili hususan katika masuala ya UKIMWI | · Wajumbe · Ofisi ya Waziri Mkuu · MEWATA · ICAP · TACAIDS | ||||
JUMAMOSI&JUMAPILI 19&20/05/2012 | · MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | WOTE | ||||
TAREHE/SIKU | KAZI ZA KUFANYA | WAHUSIKA | ||||
JUMATATU 21/05/2012 | Kukutana na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) kujadili Taarifa kuhusu shughuli za Taasisi hususan katika Masuala ya UKIMWI, mafanikio na Changamoto | · Wajumbe · Ofisi ya Waziri Mkuu · WAMA · TACAIDS | ||||
JUMANNE 22/05/2012 | Kutembelea gereza la SEGEREA kupata taarifa kuhusu hali halisi ya UKIMWI katika gereza hilo | · Wajumbe · Ofisi ya Waziri Mkuu · Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi · Mkuu wa gereza la Segerea · TACAIDS | ||||
JUMATANO 23/05/2012 | Kukutana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Mzumbe na kupokea taarifa kuhusu hali halisi ya UKIMWI chuoni (watumishi na wanafunzi) | · Wajumbe · Ofisi ya Waziri Mkuu · Chuo Kikuu cha Dar es Salaam · Chuo Kikuu cha Mzumbe · TACAIDS | ||||
ALHAMISI 24/05/2012 | Kukutana na Ofisi ya Makamu wa Rais Kujadili na Kupata Taarifa kwa jinsi Ofisi ya Makamu wa Rais inavyoratibu mapambano dhidi ya UKIMWI mahali pa kazi | · Wajumbe · Ofisi ya Makamu wa Rais · Ofisi ya Waziri Mkuu · TACAIDS | ||||
IJUMAA 25/05/2012 | · MAJUMUISHO | · Wajumbe · Sekretarieti | ||||
JUMAMOSI&JUMAPILI 26&27/05/2012 | MAPUMZIKO | · WOTE | ||||
TANBIHI: Vikao vyote vya Kamati vitaanza saa 3.00 Asubuhi
No comments:
Post a Comment