Friday, April 20, 2012

Ndovu Special Malt yanogesha Marketers Night jijini Dar

 Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt ambao ni wadhamini wa kuu wa hafla ya Usiku wa wadau wa Masoko (Marketers Night),Pamela Kikuli akizungumza machahe kwenye hafla hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt ambao ni wadhamini wa kuu wa hafla ya usiku wa wadau wa Masoko (Marketers Night),Pamela Kikuli (kulia) akipokea cheti kwa niaba ya wadau wa TBL ambao hawakuweza kuhudhulia kwenye hafla hiyo jioni hii kutoka kwa Dk. Walle Akinyemi wa Kampuni ya Power Talk.
 Kiongozi wa hafla hiyo ya usiku wa Wadau wa Masoko (Marketers Night),Coach Phillip Kambe akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa bia ya Castle Lager,Kabula Nshimo na Meneja wa Kinywaji cha Redd's,Victoria Kimaro wakionyesha chupa ya bia ya Ndovu Special Malt ambayo imepata tuzo nyingine ya Monde hivi karibuni.
 Dk. Walle Akinyemi wa Kampuni ya Power Talk akiwapongeza wadau waliopata vyeti kutokana na mchango wanaouoshesha katika utendaji wao wa kazi.
 Dada wa Ndovu akiisambaza Ndovu ipasavyo.
 Muda wa Msosi uliwadia na wadau wakijisevia. 
 Wadau Mbali mbali waliohudhulia hafla hiyo usiku huu.

No comments: