Wednesday, April 18, 2012

Kocha Marcio Maximo alipokutana na wadau jijini Sao Paulo, Brazil

 Kocha Marcio Maximo akiwa na wadau wa soka alipokutana nao jijini Sao Paulo April 16, 2012
 Ankal akibadilishana kadi na Kocha Maximo
 Kocha Maximo na wadau jijini Sao Paulo
 Kocha Maximo akipozi na mwandishi wa MAELEZO, Anna Nkinda jijini Sao Paulo
 Kocha Maximo akiwa na mwanahabari mahiri wa TBC Gaston Msigwa jijini Sao Paulo
 Kocha Maximo akipozi na mwandishi wa habari mwandamizi wa HabariLeo Joseph Lugendo jijini Sao Paulo
 Kocha Marcio Maximo akiwa na wadau jijini Sao Paulo 
 Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wananchi Uchumi na Ushirika ZanzibarHaroun Ali Suleiman akisalimiana na Kocha Maximo jijini Sao Paulo
Kocha Maximo akisalimiana na Msaidizi wa Rais wa Tanzania (Diplomasia) Balozi Liberata Mulamula

1 comment:

Anonymous said...

Ankal na wewe umooo? haya, cheichei!