Saturday, January 21, 2012

Zuku TV yazinduliwa jijini Dar

 Mwenyekiti wa Wananchi Group ambao ndio waanzilishi wa ZUKU TV,Ali Mufuruki akizungumza wakati wa uzinduzi wa ZUKU TV uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mkuu wa Wananchi Group ambao ndio waanzilishi wa ZUKU TV,Richard Bell akizungumza wakati wa uzinduzi wa ZUKU TV uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mkuu wa TCRA,John Nkoma akizungumza wakati wa uzinduzi wa ZUKU TV uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Wananchi Group,Ali Mufuruki (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Wananchi,Richard Bell (katikati) wakibadirishana mawazo na mmoja wa wadau wa ZUKU TV wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
Baada ya Uzinduzi,sasa ni Utambulisho kwa wadau.
Wadau Mbali Mbali walihudhuria uzinduzi huo.
Wadau.

Mdau Raqey na Mai waifu wake Sarah.
TMK wanaume wakifanya vitu vyao stejini.
Dogo Asley na kundi zima la TMK wakionyesha mambo yao.
TMK.
AY akiwa stejini.
Dj Choka.
AY akipagawisha mashabiki wake.

1 comment:

Anonymous said...

mawigi. kha. punguzeni