Wednesday, December 7, 2011

mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika wamalizika leo jijini Arusha

Rais wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA) ,Bw. Errol Frank Stoove akizungumza wakati wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika uliomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda ya Afrika,Bw. Mussa Assad (Tanzania) akifafanua jambo wakati wa Mkutano uliomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akichangia mada wakati wa mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika uliomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dr. Ramadhan Dau akizungumza machache wakati akitoa shukrani kwa Waandaaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika,Washiriki wa Mkutano huo Uliokuwa umedhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) uliomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Rais wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA) ,Bw. Errol Frank Stoove (kulia) akikabidhi Tuzo ya Heshima kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dr. Ramadhan Dau (katikati).Kushoto ni Katibu Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA),Bw. Hans-Horst Konkolewsky.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dr. Ramadhan Dau (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA) ,Bw. Errol Frank Stoove.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dr. Ramadhan Dau akichangia mada katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (SSRA),Bw. Siraju Juma Kaboyonga akichangia mada katika Mkutano huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii,Bw. Abubakar Rajab akichangia mada.
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka na Rais wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA) ,Bw. Errol Frank Stoove wakitafakari wakati mada mbali mbali zikitolewa katika Mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika uliomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
M
Katibu Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Kimataifa (ISSA),Bw. Hans-Horst Konkolewsky akisoma hotuba ya jumla wakati wa kufunga Mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda wa Afrika uliomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (SSRA),Bw. Siraju Juma Kaboyonga (kulia) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dr. Ramadhan Dau
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakifatilia kwa makini Mkutanoa huo.

No comments: