Thursday, December 8, 2011

Kipukuswa na Asia wameremeta

Bwana harusi ni mpenzi wa Simba SC lakini marafiki zake wakamletea jezi za Yanga...
"......Kavae mwenyewe hiyo jezi, unataka nichubuke mwili nini....Eboooo?
Maharusi na wapambe wao
Bwana harusi akikata mayenu
Keki kwa wazaa chema
keki ikikatwa
Maharusi na mashuhuda wao wa karibu
Meza ya Papaa Freditto Mopao 
Kamati ya maandalizi
hapo zawadi ni noti tu..
Freditto Mopao anajibu mapigo
Mawaidha maridhawa
Mwenyekiti akabidhi kadi ya salamu na hati ya nyumba kwa maharusi
Kamati kuu
meza ya mipango na matumizi
Mwenyekiti akimwaga sera
Busu la mwaka
Maharusi wakiingia ukumbini
Wanameremeta
Baada ya kumeremeta
Mpunga kama kawa ulipigwa
hapo tonge nyama
Furaha ya kumeremeta
Salaam kwa Bi harusi 
Ndoa ikifungwa

2 comments:

Anonymous said...

hongereni sana

Anonymous said...

Ankal leo umenikosha sana na hiyo picha ya 'mpunga' imekumbusha mbali sana