Sunday, December 25, 2011

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MAMAA WA MITINDO ASIA IDAROUS YAFANA SANA KWENYE KIOTA CHA NYUMBANI LOUNGE

 Keki ya Besdei yenye kuonyesha namba 52 ikiwa ni umri mpya wa Da' Asia Idarous Khamsini.
 Da' Asia Idarous Khamsini akifurahia siku yake hiyo.
 "wimbo wa hepi besdei ukiimbwa."
 Mdau wa Marekani akimlisha keki Da' Asia Idarous Khamsini.
 Mdau akilishwa keki na Da' Asia Idarous Khamsini
 Hivi ndivyo Mambo yalivyokuwa ambapo baadae yaliangushwa magoma makali makali toka kwa wadau 
 wa GrooveBack Nite chini ya Mkali Peter Moe.

2 comments:

magiehanlon said...

aunt asya looks so young over 50. Mungu ampe uzima na afya tele. Happy bday once again aunt asya.

Anonymous said...

huyu dada Asia idarous anamwili mzuri yaani hazeeki miaka 52 anaonekana kama miaka 40 tuambie siri ya kutokuzeeka mama iwish you along life more than now