Friday, October 21, 2011

Ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 21 wa Wanachama na wadau wa PPF ukumbi wa Simba, Aicc, Arusha

 Bosi wa Azania Bank (kulia) akisalimiana na afisa mwandamizi toka Benki Kuu
 Waratibu wa mkutano huo
 Vitabu vya mpango mpya wa PPF wa mkataba wa Huduma kwa wanachama
 wadau
 Mkutanoni
 Wadau mkutanoni
 wadau wa PPF mkutanoni
 Mzee Joel Kajura akitoa mada ya maisha baada ya kustaafu
 Wadau wa PPF wakiwa tayari kutoa huduma kwa washiriki
 Mjomba Mrisho Mpoto (kulia) na Sajini Mstaafu wa Polisi Mzee Kassim Mapili na mdau 
 Ankal na wadau
 Washiriki wa Mkutano wakipimwa afya zao
 Ankal akiwa na wadau
 Wadau wa PPF wakiwa na wanamuziki wa bendi ya Mjomba baada ya ufunguzi
 Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw William Erio akiongea na wanahabari
 Waziri wa Fedha Mh. Mustafa Mkullo akiagwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw William Erio baada ya kufungua rasmi mkutano huo
 Waziri wa Fedha Mh. Mustafa Mkullo akiaga baada ya kufungua rasmi mkutano huo
 Waziri wa Fedha Mh. Mustafa Mkullo akisindikizwa baada ya kufungua rasmi mkutano huo
 Waziri wa Fedha Mh. Mustafa Mkullo akisindikizwa baada ya kufungua rasmi mkutano huo
 Waziri wa Fedha Mh. Mustafa Mkullo akisindikizwa baada ya kufungua rasmi mkutano huo
 Picha ya pamoja
 Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio akiongea na wadhamini wa mfuko huo
 Bw Mbaruku akifafanua kuhusu mpango mpya wa PPF wa mkataba wa huduma kwa wanachama (Customer Care Charter)

 Bw Mbaruku akielezea mpango mpya wa Customer care Charter wa PPF
 Waalikwa toka taasisi mbalimbali mkutanoni
 Bw Mbaruku akielezea mkutano namna ya mpango mpya wa mkataba wa Huduma kwa wateja utavyoendeshwa
Mratibu wa Mkutano wa 21 wa wanachama na wadau wa PPF akitoa mwongozo

No comments: