Friday, October 21, 2011

Mnuso wa benki ya NBC kwa ajili ya mkutano wa 21 wa wanachama na wadau wa PPF hoteli ya Mount Meru jijini Arusha

 Juma Kakere ambaye ni afisa mwandamizi wa PPF na pia ni mwanamuziki aliyebobea akiongoza jopo la wanamuziki nguli kuingia katika mnuso wa NBC kwa PPF hoteli ya Mount Meru jijini Arusha usiku huu
 wadau wakijichana kwenye mnuso huo
 Wanahabari wakijinafasi kwenye mnuso
 wadau wakifurahia mnuso
 Chef wa Mounte Meru hotel akimhudumia mdau kwenye mnuso
 Chef wa Mount Meru akitoa huduma
 wadau wa PPF mnusoni
 Maakuli ya nguvu Mount meru Hotel
 Mike Onyango Biro na Kibo band wakitumbuiza
 Mzee mzima kwenye kinanda
 Nyuzi bin Nyuzi
 Bezi likiungurumishwa na kaka

 Waalikwa wakishuhudia ngoma ya Kimasai
 Baada ya kuondoa suti mabosi wakifurahi mnusoni

 Meneja Mkazi wa hoteli ya Mount Meru Sanjeev Halooman akishuhudia mnuso huo
 Meneja Sanjeev Halooman na wageni wake
 Sanjeev akihakikisha hamna kinachoharibika
 Waimbaji wa ngoma ya Kimasai wakishusha mistari
 Morani wakitoa burudani
 Hakuna kulala unaambiwa...
 Wadau wa NBC na PPF wakishuhudia ngoma ya Kimasai
 wadau mnusoni
 wadau wa A-Town mnusoni
 Ngoma ya Kimasai yakamata wote
 Furaha mnusoni
 Mnuso ukiendelea
 wadau mnusoni
 Wadau wa PPF na NBC wakiota moto mnusoni
 ngoma yaendelea
 Wadau
 Mabosi wa Shirika la Posta wakiwa mnusoni
 Maafisa waandamizi wa NBC mnusoni
 Furaha kila kona
 Bosi wa PPF Bw. William Erio akijichanganya na wadau
 Waheshimiwa mnusoni
 Eddy na Masanja wa NBC mnusoni hapo
 Sehemu ya tukio kabla ya waalikwa kuwasili
Vibuyu vyenye moto wa kuota mnusoni....

No comments: