Wednesday, October 19, 2011

Mkutano wa 21 wa wanachama na wadau wa PPF unaofanyika AICC Arusha

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa PPF Dkt Kapalata (kati), Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na Mkurugenzi Mkuu Mstaafu Bw David Mattaka wakiongea kabla ya kuanza mijadala katika mkutano huo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Dar es Salaam Community Bank(DCB) Bw Mr. Edmund Mkwawa na Mkurugenzi Mkuu wa Azania Bank Bw Charles G. Singili wakiwa katika mkutano huo
 Meza kuu wakati wa mijadala
 maofisa waandamizi wa PPF na wadau wakifuatilia mijadala
 Mdau wa TBC akiuliza swali
 Mwanachama akiuliza maswali
 Mdau akitoa maoni juu ya mabadiliko ambayo PPF inabidi iyakumbatie
 Mdau wa Benki Kuu akitaka ufafanuzi
 kina dada wa PPF wakijiandaa na mkutano
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mifuko ya Jamii (SSRA) Bi. Irene Kisaka akiongea na  
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa PPF Dkt Kapalata na Mkurugenzi Mkuu Bw Erio

Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio akihutubia wakati wa kuanza kwa mkutano wa 21 wa wanachama na wadau wa PPC katika ukumbi wa Simba wa AICC jijini Arusha leo
Bw Erio akiwa na Wakurugenzi Wakuu wastaafu wa PPF Bw. Naftali Nsemwa (shoto) na David Mattaka ambao pia wamealikwa
Wadau wakijadiliana wakati wa mapumziko
wadau wakijiandaa na mkutano
Wawakilishi toka sekta mbalimbali wapo
wadau wakisubiri kuigia ukumbini
Vipeperushi vikipitiwa
Watayarishaji wa mkutano wakiweka maswala sawa
kila mtu yuko bize
usajili wa wanachama na wadau
Maafisa wa PPF wakisubiri muda
Wadau mkutanoni
Wadau wakibadilishana mawazo
Maafisa waandamizi toka taasisi mbalimbali wapo
wadau
wadau wakifurahi
 wadau
Bw David Mattaka akisalimiana na Marin Hassan wa TBC ambaye pia yupo jijini kikazi




























No comments: