Monday, October 17, 2011

matukio ya kuumia kwa kipa wa african lyon Noel Munishi

 pamoja na kupata huduma ya kwanza maumivu yanaendelea
 hali inazidi kuwa mbaya
 anajitahidi lakini wapi
 analazwa chini
 refa anawasili na kuona Noel hajiwezi
 madaktari wa Simba na African Lyon wanamhudumia kwa pamoja
 watu wa huduma ya kwanza wanambeba na kumtia katika gari la wagonjwa
 wanaendelea kumpatia huduma
 kabla hajumia
 huu ndio wakati alipoumia
 anaanguka chini baada ya kugongana
 mpira umesimama
 huduma inahitajika, mwenzie amepona
 wahudumu wanaitwa
 Jukwaa la VIP likishuhudia

No comments: