Saturday, September 24, 2011

ufunguzi wa mkutano wa DICOTA 2011 wafana jijini Washington DC

 Sehemu ya mamia ya washiriki katika mkutano wa DICOTA 2011 wakiwa ukumbuni Dulle, Virginia, Washington DC wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunfuzi
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na washiriki wa DICOTA 2011
 Kila mtu alikuwa anataka mkono wa Rais Kikwete
 Hongera kwa kufanikisha mkutano
 Watanzania  Marekani wakifurahi na Rais wao
 Tunashukuru kwa kutia baraka mkutano wetu...
 Asante sana Mheshimiwa
 Hii ni siku ya furaha kwetu, Kulia ni Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Leticia Nyerere
 Great speech, anasema Mwenyekiti wa kampuni ya Symbion Power Africa Bw Joseph Wilson anasema
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe akiongea
 Wanahabari walikuwepo kwa wingi
 Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt Ramadhani Dau akisoma Muhtasari wa kuzinduliwa mpango maalum wa Welfare Scheme for Tanzanians in Diaspora (WESTADI) wakati wa ufunguzi wa DICOTA 2011.
 Rais Kikwete akizundua Welfare Scheme for Tanzanians in Diaspora (WESTADI)

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Nyumba Poa Bw Peter Masika akitambulishwa
 Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Voice of America Dkt Mwamoyo Hamza (kulia) akiwa na afisa Ubalozi Washington DC Bw Suleiman Saleh mkutanoni hapo
 Watoto wa Kitanzania wakipozi na Rais Kikwete na meza kuu baada ya kuimbisha wimbo wa Taifa
 Rais Kikwete na Balozi Mwanaidi Maajar wakiwapongeza watoto kwa kuimba vizuri
 Sehemu ya washiriki na wafadhili wa DICOTA 2011
 Washiriki wa DICOTA 2011
 Washiriki wa DICOTA 2011
 Rais Kikwete akimsalimia Bi Zaria Kawawa wa Benki Kuu
 Baadhi ya washiriki
 Baadhi ya wanakamati wa maandalizi ya mkutano huo
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na afisa toka MCC
 Rais Kikwete akiwa na Mmoja wa marafiki wa maendeleo
 Rais Kikwete akimpa mkono rafiki wa maendeleo
 Furaha ya bahati adhimu

No comments: