Wednesday, August 10, 2011

NBC yazindua Akaunti mbili zinazofuata kanuni za KIISLAMU za CORPORATE ISLAMIC CURRENT ACCOUNT pamoja na BUSINESS ISLAMIC CURRENT ACCOUNT

 Dada wa mapokezi katika uzinduzi wa Akaunti za KIISLAMU  za CORPORATE ISLAMIC CURRENT ACCOUNT pamoja na BUSINESS ISLAMIC CURRENT ACCOUNT za Benki ya Taifa ya Biashara Jumanne agosti 9, 2011 hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam.
 
 Wadau Peter Mgongo (shoto) na Masanja katika hafla hiyo
 Wageni waalikwa wakipakua futari
 Wageni waalikwa wakifuturu
 Futuru ikiendelea
 Futari
 Muda wa futari kwa wahudhuriaji
 Rais Mstaafu akizindua akaunti hizo
 Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya NBC Dkt. akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NBC Bw. Lawrence Mafuru na Mkurugenzi wa Islamic Banking wa NBC Bw. William Kallaghe wakiagana na wageni

 Wadau wa NBC wakiwa na furaha kwa uzinduzi huo
 Mkurugenzi Mkuu wa NBC Bw. Lawrence Mafuru akitoa maelezo ya akaunti hizo za Islamic Banking huku mgeni rasmi, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa pili shoto) Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya NBC, Mkurugenzi wa Islamic Banking wa NBC Bw. William Kallaghe na Bw. Abbas Mwinyi
sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hii

No comments: