Monday, August 22, 2011

matukio ya ajali ya Mbunge Mussa Khamis Silima Dodoma na Dar es salaam


 Baadhi ya waheshimiwa wabunge wanawake wakiwa hospitali ya mkoa ya Dodoma wakati wa kuckuliwa mwili wa marehemu mke wa Mbunge Mussa Khamis Silima
 Wabunge wanawake wakiwa hospitali ya mkoa wa Dodoma
 Mdau Said Yakub akiwa na wanahabari hospitali ya mkoa wa Dodoma
 Mwili wa marehemu ukishushwa kutoka garini baada ya kuwasili msikirti mkuu wa Ijumaa Dodoma 
 Wabunge na waombolezaji wengine wakiuingiza mwili wa marehemu msikitini 
 Mwili wa marehemu ukiingizwa msikitini
 Mwili ukiingizwa msikitini
 Mwili wa marehemu ukiswaliwa
 Ndani ya msikiti mkuu wa Ijumaa wa Dodoma 
 Waombolezaji wakiwa uwanja wa ndege wa Dodoma
 Mwili wa marehemu kiingizwa kwenye ndege tayari kwa safari ya Zanzibar

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mh. Anne Makinda akiongoza waombolezaji kwenye kusindikiza mwili wa marehemu uwanja wa Ndege wa Dodoma
 Waombolezaji uwanja wa ndege wa Dodoma
 Ndege ikiondoka 
Buriani...
Mzee Samwel Sitta (shoto), waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu Mh. william Lukuvi (kulia) wakiwa na kaimu Katibu wa Bunge wakiongea haya na yale katika shughuli hiyo

1 comment:

Anonymous said...

Poleni sana waheshimiwa wabunge kwa msukosuko wa msiba wa mke wa mbunge mwenzenu, Umoja na mshikamano mliouonyesha katika jambo hili ni wakuigwa na jamii nzima ya kitanzania.Udumu umoja na udugu tulionao Watanzania.
Sisi tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi.