Monday, August 29, 2011

FUTARI YA READING EASTERN AFRICAN COMMUNITY(REACO) JUMAMOSI

 picha ya pamoja na wanajumuia
 Baadhi ya Viongozi wa REACO katika Picha ya pamoja
 Mh Chabaka akifurahia jambo wakati Afisa wa UBalozi Kiondo akiteta na Ustaadhi Sungura
 Mh Naibu Balozi Chabaka akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa REACO
 Baadhi ya viongozi wa REACO wakipata Futar

 wanajumuia pamoja na wageni wakipata Futari kwa pamoja
 watoto wakipata futari
Mh Naibu Balozi akipata futari 
 Futari ilienda sambamba na kubadilishana mawazo
 mtoto mwanajumia nae akila futari
 Futari Ikiendela

wanajumuia wakijiandaa kwa kabla ya kupata futar

3 comments:

Anonymous said...

Wanawake hawakualikwa? Ni wababa na watoto tu?

Anonymous said...

Tulikuwepo upande wa mwengine wa holi

Anonymous said...

Wanawake tulikuwepo upande mwengine wa holi