Saturday, July 9, 2011

Vodacom yaandaa tafrija kwa warembo wa miss Ilala, Miss Temeke na Miss Kinondoni Club Sun Cirro, Dar





Baadhi warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakicheza muziki ndani ya Club ya Sun Sirro iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya usiku wa warembo uliondaliwa na Vodacom Tanzania. Kampuni hiyo ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Tanzania mwaka huu.


Pichani juu na chini ni Baadhi warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakicheza muziki ndani ya Club ya Sun Sirro iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya usiku wa warembo uliondaliwa na Vodacom Tanzania. Kampuni hiyo ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Tanzania mwaka huu.

 Baadhi warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani ya Club ya Sun Sirro wakati wa hafla ya usiku warembo wa kanda hizo  ulioandaliwa na Vodacom Tanzania. Kampuni hiyo ndio wadhamini wakuu wa Vodacom Miss Tanzania mwaka huu.
Mtaalam wa Masuala ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (Wa pili kushoto) na Afisa Huduma na Bidhaa wa kampuni hiyo Elihuruma Ngowi (kulia) wakishauriana jambo na Mwenyekiti wa kamati ya Miss Kinondoni Boy George (katikati) wakati wa usiku wa   warembo wa Kinondoni, Temeke na Ilala. Vodacom Tanzania ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Miss Tanzania mwaka huu.
Warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakipita kwenye zulia jekundu kuingia kwenye Club ya Sun Sirro iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam kuhudhuria usiku wa warembo hao ulioandaliwa naVodacom Tanzania ambao ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Miss Tanzania mwaka huu.


 Mamiss wakisakata rhumba
 Baadhi ya wadau waalikwa
 Furaha ya mnuso
 Mamiss wakijipumzisha
 Warembo wakila pozi
 pozi la mamiss
  Baadhi ya mamiss
 Safu nzima ya warembo wa Miss Ilala
 Safu nzima ya Miss Kinondoni
 Baadhi ya washiriki wa Miss Kinondoni
 Warembo wa Miss Temeke
 Warembo wa Miss Ilala
 Mtaalamu wa Habari wa Vodacom Matina Nkurlu akiwapanga warembo wa Miss Ilala
 Vifaa vya Miss Ilala
 Libeneke kwa kwenda mbele
 Wadau wa Vodacom Tanzania
 Mamiss wakijichanganya
 Kwaito la nguvu
 Mamiss wakicheza pamoja

No comments: