Friday, July 8, 2011

Jerry Temba na Doreen Damian walipomeremeta kanisa la St Peters na baadaye mnuso Cassa Hall jijini Dar

 Jerry na Diana wakimeremeta
 Wakwe wakiingia ukumbini Cassa hall
 Karibuni wakwe
 Kamati ya maandalizi
 Kamati na mwenyekiti wakitaja zawadi
 Hongera maharusi
 Kaka... hii ni nomaaaaa!
 Nani kasema  mawakili hawajui kulikata sebene
 Kama Mourinho vile
 Champeni
 Wafanyakazi wenza na marafiki wa Jerry
 Msosi wa nguvu...
Meza ya  Mh. Valentino
 Furaha na nderemo
 Wafnyakazi wenza Jerry
 Sebene made in India likipigwa
 Kitambaa cheupe kikirushwa kwenye hadhira
 Saluti kwa ankal
 Familia mwanana
 Kudaka ua
 Jamani nimedakaaaa....
 Mambo pouwa kabisa
 Kikosi kazi 
 Nani anabishaaaa???
 Furaha tele
 Limo la maharusi
 Wapambe
 Free style
 MC akiweka mambo sawa
 Mila lazima zidumishwe kwelli...
 Keki
 Kamati yaahidi nyumba, gari, kiwanja na mtaji wa dola 350
 Meza kuu
 Dansi
 Wawili milele
 Marafiki wa Bi harusi
 Kirruuu. tulisahau ndafuu...
 Mbele kwa mbele
 Mawakili wenza bwana harusi
Ebwana ndiiooo...

No comments: