Wednesday, July 13, 2011

Tamasha la Epiq Nation Iilivyochafua Coco Beach jijini Dar

 Jumapili, kulikuwa na tamasha kubwa sana la muziki pale Coco beachjijini Dar es salaam kwa ajili ya vijana. Tamasha hili lilidhaminiwa na bidhaa yetu mpya ya vijana inayofahamika kama Epiq Nation. Wasanii mbalimbali walikuwepo kutoa burudani ikiwemo Mwasiti, Diamond, Chidi Benz na Nameless Kutoka Kenya. Pia kulikuwa na ma underground kibao waliopewa fursa ya kuonyesha vipaji vyao vya kuimba, kuchana pamoja na kudansi.
 Chidi Benz akiwasilisha mistari
Nameless toka Kenya
 Hapatoshi

 Diamond
 Mwasiti
 Nyomi
palikuwa hapatoshi...

No comments: