Wednesday, July 13, 2011

Linah aiteka Njombe

linah akiwa on air ,..ndani ya uplands fm
 Show ya linah iliyofanyika jumapili ya tarehe 10/07/2011... show hii ilipigwa mjini Njombe ndani ya Vegas Club na iliyoratibiwa na 88.9 uplands fm ya Nombe
 atatamani niwe wakeeeee.
 cheki mkono wa linah ulivyojaa minoti na mic.....bado nyingine zilikuwa chini...
 cheki lina alivyoshika minoti.....na bado nyingine zilikuwa chiniii
 bora nikimbieeeeeeee
 Nyomi kibao
 dj q 12 akikamua.
 nyomi ya watu iliyotimba vegas club kwa ajili ya show...kwa kweli linah alipoteza
 lonely lonely nimebakiaaaaa.
 twende kazii.
 baunsa taratibu..ulinzi ulikwa wa kutosha.
 msanii chipukizi scope akiimba na linah.
watangazaji wa 88.9 uplands fm joh wa ukweh na king david walikuwa ma mc- hapa wakimkaribisha linah kwa stage....

No comments: